top of page
Search

The Rock-Kwa Sasa Tutatumia Silaha Bandia Kwenye Movie Zetu.Hotuhofii Pesa Kupotea.

Mwigizaji wa Marekani Dwayne Johnson 'The Rock' ameahidi kuacha kutumia silaha za moto kwenye movie zake kutokana na kifo cha Director wa movie Halyna Hutchins (42) ambaye alifariki kwa kupigwa risasi kwa bahati mbaya na Mwigizaji Alex Baldwin wakati wakiwa location kurekodi filamu iitwayo ‘Rust’ nchini Marekani.

The Rock amesema kwa sasa watatumia silaha za bandia ambazo hazina madhara "hatuhofii pesa (Dollars) tutakazopoteza kwa filamu kukosa uhalisia wenyewe ila maisha ya watu ni muhimu zaidi” #Imarisha #imarishadigitalreports #TheRock


19 views0 comments

Imarisha East Africa Productions Limited

A Home of Talents
bottom of page