top of page
Search

Tarehe 7 Julai Kila Mwaka Itakuwa Siku Rasmi Ya Kiswahili Duniani-UNESCO

Kupitia mkutano mkuu wa UNESCO duniania,imepitishwa tarehe 7 Julai kila mwaka itakuwa siku ya Kiswahili duniani.

Azimio hilo ilipitishwa na nchi zote za uanachama wa UNESCO bila kupingwa tarehe 23 Novemba 2021,Paris nchini Ufaransa.

Hatua hii inakifanya Kiswahili kuwa lugha ya kwanza ya Afrika kutambulika na #UnitedNations kuwa na siku maalum ya kuadhimishwa.

Wapenzi wa Kiswahili kutoka sehemu mbalimbali afrika mashariki wamezipokea habari hizi kwa furaha tele.

#Imarisha #Imarishadigitalreports #KiswahiliTranslations #SikuYaKiswahiliDuniani


31 views0 comments

Imarisha East Africa Productions Limited

A Home of Talents
bottom of page