top of page
Search

Polisi walaumu panya kwa kula ushaidi wa kilo 200 za Bangi;

Polisi nchini india wamewalaumu panya kwa kula takriban kila 200 za bangi kutoka kwa walaguzi zilizowekwa kama Ushahidi.

Hata hivo,jaji Sanjay Chaudhary alishangazwa sana baada ya kuletewa tetesi tatu za Ushahidi wa bangi kuliwa na panya.

Sehemu ya Kauli moja zilizowasilishwa ilisoma. “Panya ni viumbe wadogo na hawana heshima hata kidogo mbele ya mahakama.”

Hizi si Habari za mzaha kwenye mahakama nyingi maana Mwaka wa 2018 askari kutoka mahakama ya Argentina walifutwa kazi kwa kudai nusu tani ya bangi zililiwa na panya.

Hata hivo,wataalamu wamepuuza tetesi hizo kama upuzi mtupu.

#Imarisha


10 views0 comments

Recent Posts

See All

Imarisha East Africa Productions Limited

A Home of Talents
bottom of page