Chanzo Cha Mimba za mapema kipindi Hiki Cha Korona nchini Kenya
Kulingana na takwimu ambazo zimekuwa zikitangazwa na wizara ya afya ni wazi kuwa tangu watoto wa kike warudi nyumbani kwa sababu ya kuzuia kusambaa zaidi kwa homa hii ya korona, wengi wao tayari washaringwa mimba ambazo wazazi hawakuzitarajia wala watoto wenyewe kuzitarajia. Imewekwa wazi kuwa wengi wa wanafunzi hawa ni wenye umri Kati ya miaka kumi na minne na kumi na tisa wamepachikwa mimba na jamaa zao ; wajomba, Kaka ,baba miongoni mwa wengine. Jambo hili Lina mengi y